Jay Melody Nakupenda

Jay Melody Nakupenda Lyrics

Jay Melody Nakupenda Song Lyrics, Jay Melody Nakupenda Şarkı Sözleri

Iwe giza,baridi na upepo
Iwe kuna mawingu na minyesho,
Your body baby joto (joto)

Unafanya nijihisi special,
Unanipa sababu ya uwepo,
Kando yako we mtoto,
My desire,we nipe dawa,
Mi mahututi,
Sijielewi ooh my God

Shida ni nimekolea penzini,
Shida ni baby uko moyoni wewewe!

Nakupenda we,
Nakutaka we,
Kwako sijiwezi,
Ooh my love!
Mpenzi we,
Roho yangu we,
Kwako sijiwezi,
Ooh my love!

Akili,mwili baby,
Hasira zangu navituliza,
Ukiongea nasikiliza,
Yote sababu ya upendo!

Baby baby baby,
Vindimu chumvi ya kunyunyiza,
Yani uroda kupitiliza,
Nimeumaliza mwendo,

Kiukweli,napendwa,
Nachanganywa
Na haya ma raha,

Shida ni nimekolea penzini,
Shida ni baby uko moyoni, wewewe!

Nakupenda we (anhaaa)
Nakutaka we (oh nana nana)
Kwako sijiwezi
Ooh my love (ooh my baby)
Mpenzi we (oh nonono)
Roho yangu we (aaaah yayaya)
Kwako sijiwezi
Ooh my love

Paylaşmak Güzeldir
Etiketler

Matt Haughey feat. Marianne Beaulieu – My Love Lyrics Steve Lacy – Uuuu Lyrics
Bir yorum yazın
Siz de düşüncenizi belirtebilirsiniz.